Yani ni mbaya sana maishani kutokutimiza kitu kinachoitwa ndoto ulizonazo akilini mwako ,Katika kitu kibaya sana duniani ni kitendo cha *mtu kufa na ndoto* ambayo haijatimizwa na huku akiwa hai alikuwa na *kila sababu*ya Kutimiza ndoto zake ,na ambacho kinafanya wasitimize ni kukimbia wazo analopewa na wanaoona mbele zaidi yake na yeye asilielewe kuwa litampeleka kwenye ndoto zake na hatima yake anahangaika na mambo ambayo hayajui na mwisho wa siku anapotea na kufa bila hata ya kuimega ndoto yake hata kidogo.maaana alikuwa hana jicho la tatu ambalo limebeba fursa zitakazo msaidia kufikia kwenye doto zake ,zitakazo timiza malengo aliyojipangia kuyafanya na hapo ndipo ndoto zinaanza kuwa kweli.
ANGALIZO:
Inahitaji kujitambua kwa hali ya juu. Inahitaji uvumili na uthubutu,kulitambua kusudi lililo ndani yetu kwanini tupambane ili kutimiza ndoto tulizonazo maishani mwetu.
Tufanye kazi kwa makini,uhodari wa hali ya juu sana,ufanisi na kuheshimu mawazo ya wanaoona mbali kuliko kujitutumua mwenyewe binafsi bila ya kuwa na Mwalimu atakaye kuongoza kuvuka ng'ambo ya pili,kama wana wa misiri walivyofanya pasipo kufuata maelekezo ya yesu aliyomwambia musa,baada ya kugundua kuwa wamekosea waliamua kumsikiliza yesu aliwambia nini na hapo ndipo walifanikiwa kuvuka kuelekea israel ng'ambo ya pili.
Barikiwa sana wewe ujifunzaye kupitia hii habari njema ya juu ya kutimiza ndoto.
Wako katika kuijenga imani yako juu ya kufanikiwa maishani,
SENIOR MENTOR & PASTOR,
-Paul Biswalo.
Mhamasishaji,Muelimishaji,Mkufunzi na Mwalimu wa maswala ya maisha,uchumi,afya,utawala bora na mafanikio katika maisha.

No comments:
Post a Comment