Paul Biswalo Motivational Speaking Talks.

If you dream alone, it will remain just a dream. But if we all dream together, it will become reality”.-@Paul Biswalo.

I am looking forward to connect with you.

My phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

PSB RAMANI DESIGNERS

PSB RAMANI DESIGNERS

INAKUKARIBISHA KATIKA SEKITA YA UJENZI.JENGA NA PSB RAMANI DESIGNERS POPOTE PALE ULIPO.

TUNAFANYA PARTITINING ZA ALUMINIUM,CHUMA,UJENZI,NA DESIGNING MBALIMBALI ZA MAJENGO KWA GHARAMA HALISI ZINAZOMUWEZESHA KILA MTANZANIA KUMUDU KUJENGA NA KUMILIKI NYUMBA YAKE MWENYEWE.

*HUJACHELEWA,KARIBU TUKUHUDUMIE*.
MAWASILIANO YETU NI YAFUATAYO:
SIMU NAMBA: +255768603979
E-MAIL:psbramanidesigners@gmail.com
MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KUJENGA NA PSB RAMANI DESIGNERS.


DESIGN YA NYUMBA AMBAYO BATI HALIONEKANI KWA JUU


 PSB RAMANI DESIGNERS IKIWA INAJENGA NYUMBA KAMA MOJA YA KAZI ZAKE.


OFISI PARTITION KWA KUTUMIA VIOO, ALUMINIUM NA CHUMA.
Share:

HABAKUKI 2:2 YAANDIKE MAONO KATIKA KIBAO,UKAPATE KUYASOMA KAMA MAJI.

KATIKA MAISHA BWANA ,UNATAKIWA KUISHI KATIKA NYMBA UNAYOIPENDA AMBAYO IKO KWENYE NDOTO YAKO,SIO TU ILI MRADI NI NYUMBA;KARIBU UJIPATIE RAMANI ZA NYUMBA ZENYE MPANGILIO MZURI WA VYUMBA NA MATUMIZI YA KILA CHUMBA KWA BEI NAFUU NA UJENZI WA GHARAMA NAFUU SANA.

WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255 768 603 979.
TUNAFANYA KAZI NCHINI KOTE TANZANIA NA NJE YA NCHI PIA.

KARIBU UPATE HUDUMA BORA SANA.


KUWA NA MAONO NI JAMBO ZURI SANA MAISHANI.

Habakuki 2:1-4 BHN
Mimi nitasimama mahali pa kuchungulia, na kukaa juu mnarani; nitakaa macho nione ataniambia nini, atajibu nini kuhusu lalamiko langu.” Kisha, Mwenyezi-Mungu akanijibu hivi: “Yaandike maono haya; yaandike wazi juu ya vibao, anayepitia hapo apate kuyasoma. Maono haya yanangoja wakati wa kufaa; ni maono ya ukweli juu ya mwisho. Kama yaonekana kuchelewa, uyasubiri; hakika yatafika, wala hayatachelewa. Andika: ‘Waangalie wenye kiburi, hao wataangamia; lakini waadilifu wataishi kwa kumwamini Mungu.’”

 

Share:

Life doesn't arrange itself;individuals have to arrange it by him.plan your life,plan your future.


Paul Biswalo Motivational Speaking Talks.says...........

 
"Life doesn't arrange itself;individuals have to arrange it by him.plan your life,plan your future.

Plan early your life if you do not want to suffer later in life.
you will not be surprised or disappointed tomorrow,if you understand that whatever happens to you tomorrow commenced from today"


if you don't know where you're going,then any road will get you there,you have got to know where you want to go.All who walk along the right path are sure to arrive at the place of their destination,while of the contrary ;they who wander from the right path may never arrive at their journey's end.


“If you dream alone, it will remain just a dream. But if we all dream together, it will become reality”.-@Paul Biswalo.


 
I am looking forward to connect with you.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

I GREET YOU IN THE NAME OF PRECIOUS/GRACIOUS/HOLY NAME OF JESUS CHRIST,AMEN.
 
Share:

If you are having a strong personal brand then you can turn your customer’s perception into profits.

 
While growing a business entrepreneurs will face a reality that there is an equity that cannot be measured with money and that is brand equity. This equity is essential for the sustainability of your enterprise. If you are having a strong personal brand then you can turn your customer’s perception into profits. So branding is a key aspect that contributes a business to get succeeded in a competitive market. Various ways discuss how to build your own brand. So here listed below are 15 best ways of branding yourself successfully.
  1. Create a catchy tagline.
Strong personal brand requires some catchy taglines as they are helpful in attracting customers and viewers. You can reflect what your business does through the tag line. We can provide innovative branding at Paul Biswalo Motivational Speaking Talks.
  1. Set up a branding guide.
It is not necessary to hire professional in this regard rather you can create your own branding guide with all your co-workers. Stick to your branding guide to create a recognizable branding for your business. We are expert at defining branding strategies.
  1. Set a measurable target.
Always start with a target. It is necessary in every field as well as to build your own brand. We follow the best branding guidelines.
  1. Utilize social media.
Use of social media is a very smart way to build strong personal brand. Pick some effective social media site and target your customer from that depending upon your business.
  1. Use guest content.
If you show your work to some other relevant websites then it will grab the attention of wider audience. We are expert in branding design. We can provide you the best solution in branding and marketing.
  1. Use websites to submit articles.
If you want to build a strong personal brand then submit your articles on some websites and that will help you to establish you as an expert entrepreneur. We know all about branding a company.
  1. Use a signature in your email.
Include information related to your website and social media links in your email so that it can increase your exposure in public. It is important to build strong personal brand strategy.
  1. Collect testimonials.
After providing service to your customers, ask them for testimonials. Post top testimonials on your website to increase your visibility. We have sound knowledge of branding and identity.
  1. Start writing blog.
If you start writing blogs then readers will start trusting your company and it will help you to develop your brand in a community. You can get expert guidance on branding and logo design.
  1. Purchase domain.
Build a strong personal brand by purchasing and redirecting relevant domains. Purchase domain for your company’s name and redirect it to your website. Our writers are the best in branding articles.
  1. Find and create local group.
Offline networking and marketing can be very effective to build your own brand. Smaller networking opportunities can be more cost effective.
  1. Offer some free service.
Offer some sample of your work for free. It is an effective way in demonstrating your value for your clients.
  1. Keep record of clients.
Make a spreadsheet and keep all the records of potential clients. It will help you avoid missing out on sales.
  1. Offer reward for referrals.
If you want to build strong personal brand then offer reward for referrals. It will provide you more clients. It is a best way to build strong personal brand.
  1. Stay updated.
It is most essential for all the entrepreneurs to stay updated with all the recent trends in a branding agency.
Share:

ACHA KUWA WA KAWAIDA.ILI UFANIKIWE UNATAKIWA KUWA WA VIWANGO VYA JUU AMBAVYO WENGINE HAWAWEZI KUVIFIKIA KWA KUJITUMA NA KUJIKANA KWA KUACHA KUFANYA UNAVYOVIPENDA KWA MUDA HUO MAANA VITAKUPA RAHA KWA MUDA MCHACHE SANA NA MUDA MWINGI UTAISHI MAISHA MAGU SANA.

ACHA KUWA WA KAWAIDA.
Habari rafiki yangu?
Umeianzaje siku yako ya leo?
Ni imani yangu kubwa kuwa ni mzima wa afya njema kama ilivyo kwangu.
Ikiwa ni siku nyingine nzuri kwetu ni Fursa ya pekee kwetu kwenda kuweka Akili,Nguvu na Maarifa ili tuweze kupata matokeo yaliyo bora zaidi.

Asubuhi ya leo tutafakari juu ya KAWAIDA..
Fikiri kawaida,chukua hatua kawaida,Weka juhudi Kawaida alafu Ukategemea matokeo tofauti hii inakuwa na maana gani?

Umefanya kama ambavyo kila mtu anafanya,Huna utofauti,Hujitumi na Unategemea kuwa na matokeo ya tofauti hii inakuwa na maana gani?

Kawaida ndio mwonekano na maisha ya wengi wanao ishi maisha kwa bahati nasibu au hata Kuwa na mpangilio wa hovyo wa matumizi ya muda wao yaani wanafanya vitu kama Dhalula au hajui kwamba itakapo tokea basi nitafanyaga hapo hapo,
hivi nani anashindwa kuishi mtindo huu rahisi kabisa?
Ukweli ni kwamba watu hawapendi kabisa kujitesa,
Watu hawapendi kabisa kujiweka tofauti,
Watu hawapendi kabisa kubadilika ila wanapenda kupata matokeo tofauti.

Rafiki ikiwa utachukua hatua ambazo kila mtu anachukua kwa nafasi yake yaani hatua rahisi na unategemea kupata matokeo tofauti huo utakuwa ni ujinga wa hali ya juu,
Kwa sababu tunavuna tulicho panda huwezi kupata mtama alafu ukavuna mahindi,Huwezi kupanda uvivu halafu ukavuna mafanikio makubwa huku ni kujidanganya.

95% ya watu wote Duniani wanapenda kufanya kawaida na kuishi kawaida yaani hawapendi kujitesa kwa lolote ndio maana watu wenye maisha ya kawaida ya kula kulala,Kujenga viota nk ni wengi kuliko maelezo,
Huku 5% pekee ndio watu wanao fanya mambo tofauti,Wanachukua hatua kubwa na kuweka juhudi kubwa na kupata matokeo makubwa ndio huishi maisha ya tofauti sana yaani Matajiri.

Hivyo rafiki iwapo utafanya kawaida kama kila mtu anavyo fanya usitegemee wala kuweka tumaini kwenye hilo na kwamba labda itatokea bahati na sibu ya kufikia mafanikio makubwa,
Mafanikio yoyote yanakutaka wewe uwajibike kikamilifu hivyo anza kuondoka kwenye kundi la 95% la kufanya kawaida na Anza kujijengea tabia za watu wa kundi la 5% kufanya tofauti kuweka juhudi kubwa Nk.

Fahamu kuwa ili kufanikiwa kuna marafiki lazima itakubidi kuwaachilia, kuna vitu unavyovipenda sana itabidi kuviachilia, maraningine itakulazimu kuhama na kwenda kuanza upya sehemu nyingine.

Utashangaa wengine wanafanikiwa na wewe unawaangalia tu, yamkini tatizo nipale ulipo, labda wao wapo sehemu sahihi na wewe haupo sehemu sahihi. Nikushauri kitu cha muhimu, usihame au kubadili mazingira kwa kuiga, hakikisha unaisikia sauti ya ndani ikikushawishi kufanya hivyo, take the leading of the Holy spirit ili kufanya maamuzi sahihi otherwise utakuja kujuta.

Wako katika kuijenga imani yako juu ya kufanikiwa maishani,
SENIOR MENTOR & PASTOR,
-Paul Biswalo.
Mhamasishaji,Muelimishaji,Mkufunzi na Mwalimu wa maswala ya maisha,uchumi,afya,utawala bora na mafanikio katika maisha.

Nifuate kwenye ukurasa wangu /ubao wangu ninaoandikia na kufundishia masomo mbalimbali juu ya maisha na mafanikio kupitia:https://www.linkedin.com/…/paul-biswalo-655a95…/.......kisha jiandikishe ili uwe wa kwanza kupata habari njema ya mafanikio.
Barikiwa sana wewe ujifunzaye kupitia hii habari njema ya juu ya kutimiza ndoto zako.

Hakuna muujiza hapo bila shaka utavuna na kukifurahia ulicho panda.
Kila la kheri rafiki yangu na mafanikio Mema.
Share:

Ni kanuni halisi kabisa kwamba katika maisha maranyingine tunashindwa kufanikiwa au kuendelea au kupiga hatua kimaisha kwasababu tu ya maeneo tuliyomo na mazingira tunayoishi (Geographical locations).

Kuna watu wengi sana ambao kamwe hawatoweza kufikia ndoto zao kwasababu ya kuona kila kitu ni kigumu. Labda na wewe ni mmoja wao. Watu wahivi kila akiambiwa au kushauriwa kitu lazima ataanza kuwaza au kusema "ni ngumu" au "sidhani kama nitaweza", "fulani na fulani walijaribu wakashindwa".



Kwanini useme ni ngumu kabla haujajaribu?? Hivi unadhani kwenye maisha kuna vitu vinajijia tu pasipo jitihada? Nyie ndio mnataka kulishwa na kutunzwa na kukaa tuuu mnasahau kwamba there is no free lunch!!! Kwangu mimi maana ya ngumu ni "ongeza jitihada kidogo, ongeza nguvu kidogo hadi ufanikiwe". 


kwa maelezo na kujifunza zaidi ,pitia hapa:https://soundcloud.com/paul-s-biswalo/fursa-ambazo-zinatuzunguka-na-hatujazifikia-hata-kidogo
Remember, whatever problem you're facing right now, is TEMPORARY. Nothing lasts forever, even pain and tears will eventually pass. If you learn to be flexible with your solutions and approach to difficult times, you'll always win!
- Paul Biswalo.


Ukiona kila jambo unalolifanya unasifiwa tu upo sahihi, na makofi mengi sana tuu bila kukosolewa jua unachokifanya bado hujakifanya kama inavyotakiwa. Nikufungue kitu kimoja muhimu hapa, ukitaka kujua unachakifanya kinakupeleka katika njia yako sahihi utaona makofi yanapungua lakini chuki, masimango , kukosolewa , kuonekana kama umechanganyikiwa kutaongezeka sana tuu.
kwa maelezo na kujifunza zaidi ,pitia hapa:https://soundcloud.com/paul-s-biswalo/zifahamu-group-kundi-za-damu-na-tabia-zake-ili-ujinusuru-na-magonjwa-yaepukikayo

Unachotakiwa kukifanya katika nyakati hizi ni ujipigie makofi kwa hatua kama hii alafu ongeza kasi kwa yale ambayo wanakusimanga nayo au hawakuelewi nayo vizuri. Mwaka 2018 uwe ni mwaka wa kuheshimu wenzako ili nao waheshimu uhalisia wako. Uwe ni mwaka wa kusimama katika imani ya yale unayoyafanya na sio kutikiswa na watu kusema wanakujua zaidi ya wewe unavyojijua.

Ni kanuni halisi kabisa kwamba katika maisha maranyingine tunashindwa kufanikiwa au kuendelea au kupiga hatua kimaisha kwasababu tu ya maeneo tuliyomo na mazingira tunayoishi (Geographical locations). Wako watu kwenye vitabu vitakatifu ili wao kufanikiwa Mungu aliwaambia wahame walipo au wabadili mazingira ya watu wanaowazunguka na baada ya hapo maisha yao yakabadilika kabisa. 


kwa maelezo na kujifunza zaidi ,pitia hapa:https://soundcloud.com/paul-s-biswalo/yafahamu-mambo-yatakayo-kupeleka-kwenye-maendeleo-maishani-mwako

Fahamu kuwa ili kufanikiwa kuna marafiki lazima itakubidi kuwaachilia, kuna vitu unavyovipenda sana itabidi kuviachilia, maraningine itakulazimu kuhama na kwenda kuanza upya sehemu nyingine. Utashangaa wengine wanafanikiwa nawewe unawaangalia tu, yamkini tatizo nipale ulipo, labda wao wapo sehemu sahihi na wewe haupo sehemu sahihi. Nikushauri kitu cha muhimu, usihame au kubadili mazingira kwa kuiga, hakikisha unaisikia sauti ya ndani ikikushawishi kufanya hivyo, take the leading of the Holy spirit ili kufanya maamuzi sahihi otherwise utakuja kujuta.

 

kwa maelezo na kujifunza zaidi ,pitia hapa:https://soundcloud.com/paul-s-biswalo/fursa-tunazoweza-kuzifanya-kwenye-jamii-yetu-inayotuzunguka
 

Wako katika kuijenga imani yako juu ya kufanikiwa maishani,
SENIOR MENTOR & PASTOR,
-Paul Biswalo.
Mhamasishaji,Muelimishaji,Mkufunzi na Mwalimu wa maswala ya maisha,uchumi,afya,utawala bora na mafanikio katika maisha.

kwa maelezo na kujifunza zaidi ,pitia hapa:https://soundcloud.com/paul-s-biswalo/fursa-zinazotuzunguka-na-ambazo-tunatakiwa-kuzifanya-katika-serikali-hii-ya-viwanda

Meet you at the top. Heri ya mwaka mpya rafiki Rafiki zangu.
Share:

Fahamu kuwa ili kufanikiwa kuna marafiki lazima itakubidi kuwaachilia, kuna vitu unavyovipenda sana itabidi kuviachilia, maraningine itakulazimu kuhama na kwenda kuanza upya sehemu nyingine.je ulikuwa unafahamu kuhusu hili????

Ukiona kila jambo unalolifanya unasifiwa tu upo sahihi, na makofi mengi sana tuu bila kukosolewa jua unachokifanya bado hujakifanya kama inavyotakiwa. Nikufungue kitu kimoja muhimu hapa, ukitaka kujua unachokifanya kinakupeleka katika njia yako sahihi utaona makofi yanapungua lakini chuki, masimango , kukosolewa , kuonekana kama umechanganyikiwa kutaongezeka sana tuu.



Unachotakiwa kukifanya katika nyakati hizi ni ujipigie makofi kwa hatua kama hii alafu ongeza kasi kwa yale ambayo wanakusimanga nayo au hawakuelewi nayo vizuri. Mwaka 2018 uwe ni mwaka wa kuheshimu wenzako ili nao waheshimu uhalisia wako. Uwe ni mwaka wa kusimama katika imani ya yale unayoyafanya na sio kutikiswa na watu kusema wanakujua zaidi ya wewe unavyojijua.



Ni kanuni halisi kabisa kwamba katika maisha mara nyingine tunashindwa kufanikiwa au kuendelea au kupiga hatua kimaisha kwasababu tu ya maeneo tuliyomo na mazingira tunayoishi (Geographical locations). Wako watu kwenye vitabu vitakatifu ili wao kufanikiwa Mungu aliwaambia wahame walipo au wabadili mazingira ya watu wanaowazunguka na baada ya hapo maisha yao yakabadilika kabisa.



Fahamu kuwa ili kufanikiwa kuna marafiki lazima itakubidi kuwaachilia, kuna vitu unavyovipenda sana itabidi kuviachilia, maraningine itakulazimu kuhama na kwenda kuanza upya sehemu nyingine. Utashangaa wengine wanafanikiwa na wewe unawaangalia tu, yamkini tatizo nipale ulipo, labda wao wapo sehemu sahihi na wewe haupo sehemu sahihi. Nikushauri kitu cha muhimu, usihame au kubadili mazingira kwa kuiga, hakikisha unaisikia sauti ya ndani ikikushawishi kufanya hivyo, take the leading of the Holy spirit ili kufanya maamuzi sahihi otherwise utakuja kujuta.



Wako katika kuijenga imani yako juu ya kufanikiwa maishani,

SENIOR MENTOR & PASTOR,
-Paul Biswalo.

Mhamasishaji,Muelimishaji,Mkufunzi na Mwalimu wa maswala ya maisha,uchumi,afya,utawala bora na mafanikio katika maisha.

nifuate kwenye ukurasa wangu /ubao wangu ninaoandikia na kufundishia masomo mbalimbali juu ya maisha na mafanikio kupitia:https://paulbiswalomotivationalspeakingtalks.blogspot.com/.......kisha jiandikishe ili uwe wa kwanza kupata habari njema ya mafanikio.

Barikiwa sana wewe ujifunzaye kupitia hii habari njema ya juu ya kutimiza ndoto zako.


Share:

Popular Posts

followers

Blog Archive

Categories

Total Pageviews

For Any assistance.

If you dream alone, it will remain just a dream. But if we all dream together, it will become reality”.-@Paul Biswalo.


I am looking forward to connect with you.

My phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Contact Form

Name

Email *

Message *

Recent Posts

Theme Support