kwa maelezo na kujifunza zaidi ,pitia hapa:https://soundcloud.com/paul-s-biswalo/fursa-ambazo-zinatuzunguka-na-hatujazifikia-hata-kidogo
Remember, whatever problem you're facing right now, is TEMPORARY. Nothing lasts forever, even pain and tears will eventually pass. If you learn to be flexible with your solutions and approach to difficult times, you'll always win!
- Paul Biswalo.
Wako katika kuijenga imani yako juu ya kufanikiwa maishani,
SENIOR MENTOR & PASTOR,
-Paul Biswalo.
Mhamasishaji,Muelimishaji,Mkufunzi na Mwalimu wa maswala ya maisha,uchumi,afya,utawala bora na mafanikio katika maisha.
kwa maelezo na kujifunza zaidi ,pitia hapa:https://soundcloud.com/paul-s-biswalo/fursa-zinazotuzunguka-na-ambazo-tunatakiwa-kuzifanya-katika-serikali-hii-ya-viwanda
Meet you at the top. Heri ya mwaka mpya rafiki Rafiki zangu.

Ukiona kila jambo unalolifanya
unasifiwa tu upo sahihi, na makofi mengi sana tuu bila kukosolewa jua
unachokifanya bado hujakifanya kama inavyotakiwa. Nikufungue kitu kimoja muhimu
hapa, ukitaka kujua unachakifanya kinakupeleka katika njia yako sahihi utaona
makofi yanapungua lakini chuki, masimango , kukosolewa , kuonekana kama
umechanganyikiwa kutaongezeka sana tuu.
kwa maelezo na kujifunza zaidi ,pitia hapa:https://soundcloud.com/paul-s-biswalo/zifahamu-group-kundi-za-damu-na-tabia-zake-ili-ujinusuru-na-magonjwa-yaepukikayo
kwa maelezo na kujifunza zaidi ,pitia hapa:https://soundcloud.com/paul-s-biswalo/zifahamu-group-kundi-za-damu-na-tabia-zake-ili-ujinusuru-na-magonjwa-yaepukikayo
Unachotakiwa kukifanya katika nyakati
hizi ni ujipigie makofi kwa hatua kama hii alafu ongeza kasi kwa yale ambayo
wanakusimanga nayo au hawakuelewi nayo vizuri. Mwaka 2018 uwe ni mwaka wa
kuheshimu wenzako ili nao waheshimu uhalisia wako. Uwe ni mwaka wa kusimama
katika imani ya yale unayoyafanya na sio kutikiswa na watu kusema wanakujua
zaidi ya wewe unavyojijua.
Ni kanuni halisi kabisa kwamba katika maisha maranyingine
tunashindwa kufanikiwa au kuendelea au kupiga hatua kimaisha kwasababu tu ya
maeneo tuliyomo na mazingira tunayoishi (Geographical locations). Wako watu
kwenye vitabu vitakatifu ili wao kufanikiwa Mungu aliwaambia wahame walipo au
wabadili mazingira ya watu wanaowazunguka na baada ya hapo maisha yao
yakabadilika kabisa.
kwa maelezo na kujifunza zaidi ,pitia hapa:https://soundcloud.com/paul-s-biswalo/yafahamu-mambo-yatakayo-kupeleka-kwenye-maendeleo-maishani-mwako
Fahamu kuwa ili kufanikiwa kuna marafiki lazima itakubidi
kuwaachilia, kuna vitu unavyovipenda sana itabidi
kuviachilia, maraningine itakulazimu kuhama na kwenda kuanza upya sehemu
nyingine. Utashangaa wengine wanafanikiwa nawewe unawaangalia tu, yamkini
tatizo nipale ulipo, labda wao wapo sehemu sahihi na wewe haupo sehemu sahihi.
Nikushauri kitu cha muhimu, usihame au kubadili mazingira kwa kuiga, hakikisha
unaisikia sauti ya ndani ikikushawishi kufanya hivyo, take the leading of the
Holy spirit ili kufanya maamuzi sahihi otherwise utakuja kujuta.
kwa maelezo na kujifunza zaidi ,pitia hapa:https://soundcloud.com/paul-s-biswalo/fursa-tunazoweza-kuzifanya-kwenye-jamii-yetu-inayotuzunguka
Wako katika kuijenga imani yako juu ya kufanikiwa maishani,
SENIOR MENTOR & PASTOR,
-Paul Biswalo.
Mhamasishaji,Muelimishaji,Mkufunzi na Mwalimu wa maswala ya maisha,uchumi,afya,utawala bora na mafanikio katika maisha.
kwa maelezo na kujifunza zaidi ,pitia hapa:https://soundcloud.com/paul-s-biswalo/fursa-zinazotuzunguka-na-ambazo-tunatakiwa-kuzifanya-katika-serikali-hii-ya-viwanda
Meet you at the top. Heri ya mwaka mpya rafiki Rafiki zangu.
No comments:
Post a Comment