
Ukiona kila jambo unalolifanya unasifiwa tu upo sahihi, na makofi mengi sana tuu bila kukosolewa jua unachokifanya bado hujakifanya kama inavyotakiwa. Nikufungue kitu kimoja muhimu hapa, ukitaka kujua unachokifanya kinakupeleka katika njia yako sahihi utaona makofi yanapungua...